HONGERA SANA TUNATAMANI UANZE SAFARI YA KUIMARISHA AFYA YAKO KUANZIA LEO


Tumefundisha watanzania wengi kudhibiti magonjwa ya lishe kwa kutumia tiba ya chakula. Magonjwa mengi ya lishe na mtindo yanatibika kwa kubadilisha mfumo wa lishe na maisha. Kozi hii itakupa siri za mafanikio kwa wote wenye uzito mkubwa niliowasaidia kupunguza kilo nyingi bila kujinyima kula.